@SuluhuSamia Ni nia njema kabisa mahali ambapo hapakuwa na kitu, panapo tendewa haya, tuna hakika ya kuwa na huduma bora kwa utangulizi wa miundo mbinu. Mungu akupe uzima na afya lengo jema likapate kukamirika.
@SuluhuSamia Kazi njema iliyotukuka. Naamini watanzania wenzetu baadhi watakuwa wanufaika katika kiwanda, nizidi kuomba wepesi kwa namna ya uwekezaji waje tunufaike. Mungu akutunze Rais wetu.
@godbless_lema Wakati wowote tambua adui wa mtu ni wa nyumbani kwake. Huo ni wajibu wa maandiko. Lakini wapo wanaochimba mashimo ili udumbukie, wapo wanaosaga meno kwa ajili yako. Hivyo uovu wowote kama msemaji useme na kuukemea. Hizi tabia ovu zisibaki. Makonda piga kazi, tumekuelewa.