Kesho tar 29 ni siku ya maombolezo kuwakumbuka watu wote waliouwawa na waathirika wa tar 29 Oktoba na siku zilizofuata—wengi wao wakipigania uadilifu wa bendera yetu 🇹🇿! Tutakuwepo!
🇪🇸🗣️ Ander Herrera on the harsh reality many Boca Juniors youth players face growing up in Argentina:
“Here, the kids are thinking about how they can save their family. I speak a lot with the club psychologist, and he told me that at least 85% of the boys in Boca’s academy come from families living in poverty.
He even told me about one player who sometimes misses training because he has to go and collect cardboard with his parents to help make a living.
Just imagine the pressure those kids are under to succeed and lift their families out of poverty.” 🥹🇦🇷
Fvck you Hundeyin you will NOT tell our stories as Tanzanians, our blood was spilled and it keeps spilling, blood you are NOT related to anyhow. STFU! Mumu olodo.
Kuna watu wana kipaji cha hali ya juu kabisa cha kujitoa ufahamu, kuongea upupu mchana kweupe kwa kujiamini asilimia mia moja, wakidhani Watanzania wote ni mbumbumbu wa kuamini kila wanachosema. Ni mchanganyiko wa ubinafsi, majivuno na ego uliopitiliza unaowasukuma kupuuza ukweli, kujiona wao pekee ndio wenye akili na maarifa, na kudharau uwezo wa Watanzania wa kuchambua na kutambua ukweli. Bahati mbaya kwao, kujiamini kupita kiasi hakubadilishi uongo kuwa ukweli, wala hakuwafanyi wengine kuwa wajinga.
Aise modern parents kuwalisha madogo misosi mingi hadi wanakuwa vibonge sio sifa. Obesity ni hatari sana hasa kwa hii lifestyle ambayo wakitoka shule hawaendi kucheza nje.
Baki kusimuliwa tu suala la kutekwa 😭 usifanyiwe hili jambo! Maana in that moment unapata nguvu na akili ajabu!
Hadi baadaye watu wanauliza ulipataje wazo kufanya haya!?
Ila unapokuwa umebanwa kwanza akili inakuwa CLEAR na kila sekunde unaifanyia tathmini na kutolea maamuzi hapohapo! Pili unakuwa na nguvu ya AJABU! Mi mwanamke ila niliwapiga teke wanaume hadi walipiga kelele 😅 na kung’ata nilipanga wakanikaba!
Kuna siku tutakusanyana tusimulie ila baki kusikia kwa wengine
Yote kwa yote kuna Mungu pia - tusali sana kila siku na tuombane!
Kuna maisha Europe na America haswa maeneo mawili ya "Tabia ya Ulaji" na "Malezi" wameanza kujirudi, halafu sisi ndio tunayaacha 😁
Waafrica uwa ni kama tupo centuries nyingi nyuma 🤣
Mwili mwingine umeokotwa leo Daraja la Salender- Dar es salaam.
Hakuna aliyesalama ndugu zangu, kila mmoja achukue hatua kujilinda maana wenye dhamana ya kutulinda ndo hao wanateka watu, wanapoteza watu na kuuwa.🥹
Kitengo cha polisi inabidi kifumulie kiunde upya hakiko kulinda raia.
Tunahitaji reshuffle kubwa sana baada ya Oct 29 Kama humuoni hata hili mtaua hili Taifa.
Mnashindwa vipi kutoa wito tunakuhitaji kituo Fulani mkamate watu kama waasi.
Mnatengeneza chuki wenyewe
Leo kanisani tumefundishwa kusamehe, kiukweli Father Joseph Mashauri ametupa mahubiri mazuri sana but at the end of the day nimebaki kumwambia Mungu nitasamehe vyote lakini hawa wauwaji wa 29th October sitaweza. Najua Mungu atanielewa tu🙏🏾 like I can’t forgive that, NO.
Saizi nikiongea kuna namna Mdomo unajivuta pembeni kwasababu ya MAPENGO niliyopata ukubwani.
Hii ni hali mpya inanikosesha raha, ila haitaweza kunizuia kuyaishi maisha yangu niliyozoea.
Naamini na nyie wanangu mtazoea kuniona kwenye hali hiyo. Hata mkinitainia kwa hilo pia mimi kwangu UNYAMA.
Hili kwangu ni dogo sana, wapo watu wamekatwa Miguu baada ya kukutana na wakoloni weusi kama mimi, leo mimi meno tuu mawili yamepotea niogope?
Maisha yataendelea kama KAWA. Hili jaribu Mungu alinipa akijua naliweza na kweli NITAISHI NALO mwanzo mwisho.🙏