Ukiona mambo hayaendi rudi nyumbani nenda kafagie makaburi ya wazee na bado hajaja jengewa jengea then fanya na kisomo, ukirudi mjini mambo yasipoenda njoo unidai liten. Na huu sio uchawi
20 February, hii ndio siku nilimuona Mungu wangu kwa asilimia 100% gari liliruka juu mara 3 likaacha njia, Kuna wenzangu wengine walivunjika miguu, mwingine alipasuka kichwani, wengine wakakimbizwa hospital, Mimi nkatoka Salama kama nilivyoingia. Sifa na utukufu wote ni kwake.π
Tenga dakika chache kila siku kukumbuka kuwa watawala waliamuru polisi wafyatue risasi, na matokeo yake wakawapiga risasi vijana waliokuwa kwenye banda la kutazama mpira.
Leo mda huu usiku natoka kibaruani, napita na gari kwenye daraja moja karibu na Kisongo, nikahisi kama mtu amejirusha kwenye maji.
Ikabidi ni park pembeni chap, na kuingia ndani ya daraja. Mind you, jana na leo mvua zimenyesha sana Arusha na maji ni mengi mno.π
Hiyo ni jana nikiwa hospitalini mloganzila ndugu zangu nilienda kwajili ya vipimo vikubwa vya xrei tumboni niomeona utumbo ulivyo jaa kinyesi, tatizo lingine linakuja dakitari alipo jaribu kunafanyia kipimo Cha haja kubwa akuta chembechembe ya kinyesi kinatoka akasema.