Kina dada mmejisahau ee “mama mwenyenchi ni mmoja tu “ nyie wengine tukutane JIKONI , unakuta mtu ata hajwa wahi kuwa kiranja wa darasa yuko nchi ni yetu “mwenye nchi mwenywe anasema nchi ni ya wa TANZANIA
ushawahi jiuliza kwanini nyumba nzuri ndo zina milango mi kubwa kuliko nyumba mbaya je unahisi nisababu nyumba nzuri watu wengi wana penda kuingia kuliko nyumba mbaya ? Soma tena ujumbe huu afu tathmini kwa kina