“Nitamtafuta Mungu si kwa maneno tu, bali pia kwa namna ninavyoishi.
Uadilifu wangu, kazi yangu na namna ninavyowatendea watu viwe ushuhuda wa imani yangu.”
Amina 🙏🏼
From single to dad. From public bus to Benz owner. From tenant to a landlord. Mark my words, You’re going to end 2026 happier, richer, healthier than before. Bro, affirm it now, Type Amen!!!
Watu ambao wana kawaida ya kupekenyua mambo binafsi ya watu hawana mipaka.
Atatafuta kama unacheat akikosa atataka kujua wewe na mama yako mnaongea nini, au na baba yako, na Siblings na marafiki.
Usikubali.
Ahadi za Mungu ni za kweli. Kama ilivyoandikwa katika Yoshua 21:45: “Halikuanguka neno lo lote katika maneno yote mema aliyowaambia, yote yakatimia.” Mungu akiahidi, hutimiza. Shikilia imani, Yeye ni mwaminifu milele. 🙏
“Adui hana nafasi, nguvu i ndani yangu. Sina deni tena Yesu yu ndani yangu”.
Rate this bridge out of 10, @YourFrenchFry
100/100 for me. The first keys mazee🔥
Dear Fighters
Gen-Z & Millennials ambao tumewapoteza tukiwa kwenye mapambano ya kupigania Taifa letu.
Nyinyi ni Mashujaa wetu, nyinyi ni fahari yetu mmepigana vita kwa machozi, jasho na damu.
Tanganyika itawakumbuka Daima na sisi tuliobaki hatutakubali damu zenu zipotee bure, tutapambana mpaka pumzi zetu za mwisho mpaka Haki ipatikane.
Moyo unauma sana, Nendeni wadogo zetu, nendeni wapambanaji wetu, tutaonana badae.
Raha ya milele uwape eeh bwana na mwanga wa milele, uwaangazie.
Wapumzike kwa Amani.🙏🏻💔😭
17. Ajabu yako- The Only Grace Team
18. Yesu mpenzi mwaminifu- Boaz Danken
19. Come Jesus come- Cece Winams
20. Siwezi kueleza- Springs of life
21. Yahweh- Sinach ft Mahalia
22. Nipishe nipite-Samuel Wachu
23. Nichunguze- Nyasha ft Neema
24. Waniwazia mema- Nickson Kanyelele
8. How great thou Art- Bethel
9, Aladewura- Dunsin Oyekan
10. Have your way-Angel Bernard
11. Man at the well- Bethuel Lasoi
12. Dhahabu- Neema Gospel Choir
13. Hilo Hilo- Dr. Sarah K
14. Adonai- VVC TZ ft Herman Mchome
15. Uje- Esther Olof
16. Ongeza- Sam Barhakabe