The BEVAC project empowers SMEs in the beekeeping value chain to increase export competitiveness and market integration.
Enacted by: @Enabel_Belgium @ITCnews
The #TanzaniaHoney Trademark has officially been launched in the diverse and forest-rich Tabora region of Tanzania.
The trademark aims to boost the consumption of honey and increase market opportunities for beekeeping value chain actors.
#ThisWeekatITC@EUinTZ@Enabel_Belgium
Siku imepamba moto!
Leo ndiyo siku yenyewe ya Uzinduzi wa Alama ya Asali ya Tanzania! @bevac_tz
Tupo tayari kumpokea mgeni rasmi Mhe. Dkt. Balozi Pindi H. Chana Waziri wa @wizarayamaliasili kuzindua Alama na Jiwe la Msingi kwenye bweni la wasichana katika Chuo cha Mafunzo ya Ufugaji Nyuki
Jamani, wito ni mmoja #ChaguaAlamaYaAsali
@MNRT_Tanzania@Enabel_Belgium@EUinTZ
Witness the journey of @bevac_tz beneficiaries in Tanzanian beekeeping! After four years of training and market access, we proudly announce the launch of the Tanzania Honey Trademark, enhancing local and international trade.
Learn more at https://t.co/JPXctrU2wZ
#TanzaniaHoney
We’re pleased to announce the launch of the Tanzania Honey Trademark! This marks progress in Tanzania’s beekeeping sector and guarantees TBS-certified, locally-produced honey. 🍯 #ChaguaAlamaYaAsali#TanzaniaHoney#ThisWeekAtITC
Visit https://t.co/JPXctrU2wZ for more info!
Naibu Mwenyekiti wa Halmashauri, Bw. Stephen Petro Mtayana, alisisitiza umuhimu wa utunzaji wa mazingira katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kutoa fursa za kiuchumi.
Tumefanikiwa kutetea uhifadhi wa ekari 53,527 za ardhi ya misitu kutengwa kama maeneo maalum ya uhifadhi wa ufugaji nyuki. Katika maeneo ya Kigoma, Katavi, Tabora, na Singida, vijiji 19, pamoja na jiji la Choda, wafugaji nyuki wanaanzisha maeneo mapya ya uhifadhi wa ufugaji nyuki
Tunatumia rasilimali ya wataalamu wa kimataifa, kutoa msaada wa kiufundi unaokuza ushindani wa wafugaji nyuki na wafanyabiashara. Kupitia ushirikiano huu, tunapata njia kuelekea mafanikio endelevu katika soko la kimatafia.
#BEVAC#AsaliniMali#kilimobiashara#AsaliniMaendeleo
Mafunzo yetu yanatumika kama maandalizi kwa fursa za kimataifa na yameundwa kufungua milango kwa wafugaji nyuki, wauzaji wa bidhaa za nyuki ndani na nje ya nchi, kuwaingiza katika masoko ya Ulaya na ya kimataifa.
#BEVAC#AsaliniMali#kilimobiashara#AsaliniMaendeleo#Nyuki
Mbinu yetu inalenga kuimarisha kila upande wa mnyororo wa thamani, kutoka kwa wafugaji nyuki kwenye mizinga hadi kwa wafanyabiashara wa kimataifa. Kupitia mafunzo maalum na ushauri, tunawawezesha wadau kuongeza ushindani wao na kujenga uthabiti wa bidhaa za nyuki.
#BEVAC
We foster economic self-reliance among women and the youth within the beekeeping sub-sector, equipping them with essential business acumen that not only empowers but also fosters long-term sustainability.
#BEVAC#AsaliniMali#kilimobiashara#AsaliniMaendeleo#UfugajiwaNyuki
Tunawezesha wanawake na vijana ndani ya sekta ya ufugaji nyuki kuweza kujitegemea kiuchumi kutokana mapato yao. Tunawapa maarifa muhimu ya biashara inayo wawezesha na inayo wezesha uendelevu wa muda mrefu.
#BEVAC#AsaliniMali#kilimobiashara#AsaliniMaendeleo#UfugajiwaNyuki
Tunajenga uunganisho kati ya wanufaika wetu na majukwaa ya biashara ya bidhaa za nyuki. Tumewezesha ushiriki wa makampuni kadhaa katika maonyesho mbalimbali katika mikoa na nchi tofauti, kueneza ufikio wa bidhaa za nyuki kutoka Tanzania.
#BEVAC#AsaliniMali#AsaliniMaendeleo
We are pleased to share this landmark moment of collaboration!
4 key actors in the beekeeping value chain PEBA, TABEDO, ApiSupport and HEAT have signed an MoU to work hand in hand to optimise their individual operations to strengthen the performance of the subsector.
Tunafurahi kushiriki kwenye tokeo hili la ushirikiano!
Watendaji wakuu wanne katika mnyororo wa thamani wa ufugaji nyuki, PEBA, TABEDO, ApiSupport, na HEAT wamesaini Hati ya Makubaliano (MoU) kufanya kazi kwa pamoja kuimarisha utendaji wa mnyororo na kuboresha utoaji wa huduma.
We are pleased to see BEVAC beneficiaries, Honey Exporters Association of Tanzania (HEAT), showcasing Tanzanian bee products at the National Honey Show 2023 in the United Kingdom.
Our project is not just about beekeeping; it's about knowledge, skills, and empowerment. We're empowering entrepreneurs in the beekeeping value chain to be more competitive and create high-quality products that meet stringent international regulations.
#BEVAC#AsaliniMaendeleo
Mradi wetu hauhusiani tu na ufugaji wa nyuki; ni kuhusu maarifa, stadi, na kuwezesha. Tunawawezesha wafanyabiashara katika mnyororo wa thamani wa ufugaji nyuki kuwa na ushindani zaidi na kutengeneza bidhaa bora zinazokidhi kanuni za kimataifa.
#BEVAC#AsaliniMaendeleo#Nyuki