Nachukizwa na baadhi ya watu wanao post bastola na kuandika mwisho Missed call 3 Mara 4 kwa Akili zangu ndogo Naona Hicho kitendo Kama mnakiunga mkono
Angalieni family za marehemu😭😭😭😭
Wanaume wengi hawana Mapenzi ya kweli Ni Umalaya Tu ndo maana hata ukienda kununua Kahaba Hisia zile zile Ni uwongo Mtupu Ndo hao wakihisi wame salitiwa Wana Tumia Bastora kupoteza maisha ya watoto wa watu 😭😭😭😭😭
Nimejitoa Cshirima Ent kwa sababu nyingi sana Lakini kubwa zaidi nilipewa kusaini mkataba wenye 0% upande wangu siku saini Sasa mtu anapiga simu kwa watu wa Media kuaminisha ubaya wangu Ila hasemi yake Mimi ntayasema naomba simu zi stop Nina Kijiji Cha waandishi ntachafua dk 0
Sometime Tunacheka na washkaji zetu ndo wanaotumiwa kuangamiza Maisha yetu kwa Ahadi ya******na $50 Take care man Sio kila mtu mi
Rafki Mimi nikakataa kutumika kwa Aina yoyote God is good