IJUE HISTORIA YA KUANZISHWA KWA MWENGE
Na Edwin Kagasheki. M
Mnamo miaka ya zamani hizo kabla na baada kidogo ya ukoloni watu waliamini sana katika Mazindiko, Uchawi na Kafara tofauti kidogo na miaka ya hivi leo (miaka ya utandawazi).
Ambapo watu huyapuuza mambo hayo kwa kukemea mila potofu na pengine ni ukiukwawaji wa haki za binadamu.
Naam basi tuitizame miaka ya 1900 ambapo walizaliwa watu mashuhuri na baadaye waliitwa "wataalamu".
Walioweza kusaidiana na viongozi wa nchi yetu kwenye mambo mbalimbali ya kitaifa na waliaminika sana kwenye tawala za ki-chief na jamii kwa ujumla.
Miongoni mwao alikuwepo mtaalamu aliye julikana kwa jina la Forojo Ganze, huyu alizaliwa mwaka 1902 na alikuwa na jopo la wafuasi wake/wazee wenzake wa nyakati hizo.
Ambao walikwenda sambamba na Mwl. Nyerere katika kutoa mchango wao wa kitaalamu kwenye maswala nyeti ya kitaifa.
Forojo Ganze, alikuwa ni mchawi maarufu na ni mmoja kati ya wazee waliotumwa kufanya zindiko la nchi baada ya uhuru kule bagamoyo, walipewa kazi ya kuhakikisha rais aliye madarakani (Mwl. Nyerere) hapingwi na mtu yeyote.
Zindiko hilo lilifanyika bagamoyo katika moja ya mashimo yanayopatikana wilayani hapo, na zoezi hilo lilienda sambamba na kumuuliza shetani na malaika zake "ni jambo gani lifanyike ili Tanzania iendelee?".
Basi kiongozi wa msafara Forojo Ganze ndiye mtu pekee aliyeingia kwenye hilo shimo mithili ya pango kwaajili ya kuuliza.
Alikaa huko kwa muda wa siku 10 huku akiwa amewaacha wazee wenzake nje wakimgoja atakuja na jibu gani ili wakampatie rais na wazee wengine wa Dar es salaam.
Kilichoshangaza siku ya kumi na moja alitoka akiwa hoi hajiwezi alikuwa kama mtu aliyepigwa na alikuwa anaongea lugha isiyofahamika.
Jana nilikuwa majimbo ya Mbagala na Chamazi kuwaombea kura wagombea wetu Kamanda Jamal Rwambo na ndg Kondo Juma Bungo pamoja na madiwani wao. Leo nitakuwa Kigamboni kwa @Mwanaishamndeme
Oktoba 3, 2025
Tanga Mjini
Zamu ya Tanga leo nitafanya mkutano wa hadhara Kata ya Ngamiani Kusini. Kumnadi mgombea wa Ubunge Ndugu Seif Abalhassan, pamoja na wagombea udiwani wa kata zote.
Oktoba 3, 2025
Tanga Mjini
Zamu ya Tanga leo nitafanya mkutano wa hadhara Kata ya Ngamiani Kusini. Kumnadi mgombea wa Ubunge Ndugu Seif Abalhassan, pamoja na wagombea udiwani wa kata zote.
Shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kutufikisha salama na kuanza kampeni zetu Mkoa wa Arusha katika Wilaya ya Arumeru, baada ya kuhitimisha katika Mkoa wa Kilimanjaro kwa kuzungumza na wananchi wa Wilaya ya Hai. Ahsanteni sana Arusha kwa upendo na mapokezi mazuri.