As a man, Normalise a boring life. Go to bed early. Read long books. Drink tea. Regulate your nervous system. Spend time alone. Go for walks without headphones. Eat simple Food. Shrink your circle. Turn down the noise.
Life doesnโt have to be loud to be magical.
Wanawake mnaorudi โLEBAโ kila mwaka โHESHIMA KWENUโ : Sehemu pekee unayemuona Mungu live๐ฅ Nusu uhai, Nusu Umauti
Heri ya siku ya kina Mama Dunianiโค๏ธ
Upendo wenu, uvumilivu wenu, na kujitoa kwenu vinaifanya dunia kuwa sehemu bora zaidi. Tunawashukuru kwa kila dua, kila machozi ya furaha, na kila nguvu mnayotoa bila kuchoka. Mungu awabariki, awape afya njema, amani, na furaha isiyoisha. Heri yenu wakina mama wote duniani.โค๏ธ
Upendo wenu, uvumilivu wenu, na kujitoa kwenu vinaifanya dunia kuwa sehemu bora zaidi. Tunawashukuru kwa kila dua, kila machozi ya furaha, na kila nguvu mnayotoa bila kuchoka. Mungu awabariki, awape afya njema, amani, na furaha isiyoisha. Heri yenu wakina mama wote duniani.โค๏ธ
Hii post ni kwaajili ya watu wote : Kwa hali yoyote unayopitia Mungu akawe mfariji wako, Akufanye uwe mtu mwenye ukomavu na akuongezee hekima kwenye furaha tusijisahau.
Fix your sleep permanently:
โข Sleep at 8:00PM โ Wake up at 3:30AM
โข Sleep at 8:30PM โ Wake up at 4:00AM
โข Sleep at 9:00PM โ Wake up at 4:30AM
โข Sleep at 9:30PM โ Wake up at 5:00AM
โข Sleep at 10:00PM โ Wake up at 5:30AM
โข Sleep at 10:30PM โ Wake up at 6:00AM
โข Sleep at 11:00PM โ Wake up at 6:30AM
Hajalishi itachukua siku ngapi au miezi mingapi au wiki ngapi, Haijalishi utafeli mara ngapi, Haijalishi una connection au huna, Haijalishi umetokea wapi, ila jua ya kua LAZIMA UTAFANIKIWA TU.
Kumbuka hakuna kitu cha bure kwenye hii Dunia kila kitu unapaswa kupambania na unatakiwa kuumia pia, Kumbuka hata hiyo Pepo yenye mengi mazuri tuliyokuwa tukisimuliwa ni KIFO kwanza hutangulia.
Kwenye haya maisha muombe sana Mungu akupe kibali cha kupendwa na kuthaminika na watu hata kama hauna kitu au wamekuzidi kila kitu kwa maana hao watu Mungu kawajaza hisia za kipekee sana kiasi cha kujihisi wana deni juu yakoโค๏ธ
Sipo hapa kukufundisha, Mtu aliyelia na wewe wakati hauna kitu hastahili kabisa kupewa thamani sawa na mtu ambaye ulikuwa nae baada ya kuwa na kila kitu. SOMA TENA VIZURI๐ฆ