ELIMUBIMA katika Lugha nyepesi | Huduma za Bima ndani ya Muda Mfupi Kama vile Bima za vyombo vya Moto, ajali, moto, wizi na Bond.
#Bimafaster
#0692923377
Fahamu hasara unazoweza kupata endapo umepata janga barabarani wakati huna BIMA 📌📌
1.Chombo chako kimepinduka na kuumia utaingia mfukoni kulipa hasara iliyopatikana kwa chombo chako
2.Gharama za ajali kama kuvuta gari
3.Kama umegonga mtembea kwa miguu na kusababisha majeruhi
Atalipwa endapo Amekizi Vigezo vyote vya mteja ambaye anatakiwa kulipwa.
Kwanza kama Gari imepata shida yenyewe bila kusababishwa na Gari Jengine hapo atalipwa kama ana bima kubwa lakn kwa bima Ndogo hailipi own Damage.
So Mnashauriwa kukata bima kubwa kupunguza matatizo kama h
Midomo inaumba tunatakiwa kujisemea Mema kila siku.
1. MIMI ni Mshindi All the time.
2. Leo ni Siku Yangu ya Mafanikio.
3. Leo ni Siku ya Kupata Cha jana na Leo.
4. Mungu ni Wetu Sote.
5. Mungu Atupe Mafanikio.
6. Mungu atuepushe na Husda.
7. Mungu atupe Watu wema.
Hatuna Budi Kusema Ameeeen..✊.
President Dr. Samia Suluhu Hassan welcomes fellow African leaders,delegates and partners to the Africa Energy Summit 2025 to be held on the 27th - 28th Jan 2025 in Dar es salaam, Tanzania . 🇹🇿
#Mission300#PoweringAfrica#MamaYukoKazini
Kickstart your week by investing in what matters – your online presence! In the world of digital marketing, every click, post, and ad is a step closer to success.
Let’s make this Monday the day you elevate your brand to new heights! 🌟
#DigitalMarketing#AbsGroup
Usalama Wako Barabarani Unaanza na Bima ya Gari!
Je, unajua kuwa, kuwa na bima ya gari ni muhimu sana kwa usalama wako na wa wengine barabarani? Bima ya gari inakulinda dhidi ya hasara zinazoweza kutokea kutokana na ajali, uharibifu, au wizi wa gari lako. Hakikisha una bima

➖Kugonga gari la mwingine barabarani
➖Kugonga mali za watu barabarani kama vile vibanda, nyumba n.k
✅Kulipa gharama za matibabu pindi upatapo ajali
➖Bima italipa gharama zote za matibabu pindi unaposababisha ajali kwako na kwa watu wengine
Ukiwa na #Bima ya Gari utanufaika kama ifuatavyo👇
✅Matengenezo ya Gari pindi lipatapo majanga
➖Majanga hayo ni kama wizi wa vifaa vya gari, gari kuungua, gari kuchubuka au kubonyea
✅Kuwajibika na fidia za hasara usababishazo kwa mtu mwingine
👇👇👇👇

Tunajihusisha na utoaji mizigo bandarini.
Kuagiza mizigo nje ya nchi.
Kusafirisha mizigo nje ya nchi.
Kusafirisha migizo ndani ya nchi.
Full container & loose cargo.
Tunafikisha mzigo kwa uaminifu mkubwa.
Tupigie: ☎️ +255 782 731 718
Bima ya nyumba yako itahakikisha samani na vifaa vyako vya umeme vinalindwa dhidi ya hasara inayoweza kuletwa na majanga kama shoti za umeme, mafuriko na wizi
#BimaFasta#Bima#DadaBima#insurance#Bimafaster