Tunachokiona machoni mwetu kinatufunza namna ya kua tayari wakati wowote kujilinda na kupambana na ukatili huu, na matokeo haya hayatokei kwa vijana wa kawaida zaidi ya wale wanaoamini kwenye siasa za mageuzi
Hii haikubaliki na haivumulik
Pole Kaka Nondo kwa hii njia uliopitishwa
Ndugu na wanaharakati wote, kwa wakati wote ndugu yetu @mdudechadematz amekua mstari wa mbele katika kupigania haki za watu,kwa tarifa tunazozisikia, ndugu yetu amekua hatarini licha ya kwamba yupo mikononi mwa @tanpol tusaidiane kupaza saut kwa kila mmoja ndugu yetu aachwe huru.
Kitu pekee tunachojiuliza pale Standa ya Magufuli kipo kituo cha polisi na CCTV Camera kwa nini @tanpol msianze hapo toka asubuhi hadi sasa.
Tulinataka jeshi la polis kumuachia @abdulnondo2#FreeNondo
Kuna baadhi ya watendaji wameshushwa vyeo wakiwemo Buhingwe, Kigoma hii imefanyika mara baada ya kufanya uteuzi tu, @ortamisemitz mtuambie sababu za kuondolewa na kushushwa vyeo ni nini?
Unaongoza serikali kwa miaka na kila siku na kila eneo kwako kampeni unajitangaza wewe tu.
Lakini chakuskitisha bado unaogopa uchaguzi huru na haki, pamoja na uislamu wako bado unafikra za kuongoza kwa dhulma na kuto kutenda Haki?
Basi haki yako ipo mbele yako.
Ushahidi jinsi Kampuni ya Tigo ilivyohusika kutoa taarifa za Mawasiliano za Tundu Lissu ili kufanikisha tukio la jaribio la mauaji yake September 7,2017.
Mungu hajawahi kusinzia Wala kulala.Taarifa hizi zinastua, lakini zinatia matumaini kwamba UOVU hauna Siri.
Tigo mtoe majibu.
Huu ni muendelezo ambapo sasa ni awamu ya pili katika kuwajengea msingi bora wa elimu ya dini kwa wanafunzi hao pamoja na kusupport juhudi za walimu wa madrasa katika kukuza na kuendelea vipaji vya watoto wetu.
Nawashukur kwa support na mapokezi yenu.
Naibu Katibu Mkuu BAVICHA zanzibar na Mkuu wa idara ya Oganaizesheni, Mafunzo, Sera na Uchaguzi Zanzibar Leo Tarehe 24/09/2024 nilifanikiwa kufika Kwenye madrasa 5 zilizopo ndani ya Jimbo la mkwajuni na kugawa Mas-hafu 200 ambapo kila madrasa ilifanikiwa kupata mashafu 40.
Naona jeshi @tanpol limeingia uwoga kutokana na pressure ya Watanganyika.Suala la kula hadharani mchana mwezi wa Ramadhan halipaswi kuwa entertained hata kidogo.Kwa kauli hii wataanza kula na kufanya mambo ya hovyo kwa inda na kuharibu utaratibu wa maisha ya wenyeji (Wazanzibar)
Vijana tunaona ni vyema kukawa na
marekebisho madogo ya Katiba ya#Tanzania ibara ya 67 ili
umri wakugombea Ubunge na udiwani uwe
miaka 18 badala ya 21, kama ilivyo kwa umri wa kuanza
kupiga kura ambao ni miaka 18. #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi