Kulingana na Swala la USALAMA Wangu
Nimeshindwa kuingia Nyarugusu Camp
Nitaishia Hapa MAKERE Nakugeuza RATIBA YANGU ..| SORRY my People from NYARUGUSU Camp See you Next Time .!! LOVE You โค๏ธ
#Bin#Justin โ๏ธ
Usiamini kila Anaye Kuletea Taarifa
Wengine Wanakuchimba Tu ...
Hili Apate Umbea Kutoka Kwako
KUWENI MAKINI
Na Story zakuambiwa
I'm Loyal Boy
Bungwe Boy
AT YA
Guys Stop na Hizi Story Zenuuuu zakutengeneza..
NEW SONG NEXT WEEK ๐
Mwaka Umekwisha
Kama Kuna YEYOTE Niliye Wai Kumkosea
Naomba Anisamehe,
Meal Mpya na Kila Kitu Kipia Kama Uliwai Kunikosea Basi Nakiririi Kukusamea,,
Pia Kama Uliwai Kunikosea Kitu Chochote Kile Basi Leo - Sina Kinyongo Na Yeyote, Nakusamea ( Thank You for Your Support)
- Bin
Taggeti Zangu Kuusu Huu Wimbo
WA ALEBA TIME
Mtauwelewa Mtakapo Skia Full Song
Asanteni Kwa Mapokezi Mkubwa Ndani Ya
Masaa 20Hr โฆ
Waiting For New HIT - Full Song Soon โค๏ธ๐
#AlebaTime
NGOMA YA
KIMEUMANA
.
Kuna Tatizo Iliyo Tokea Tangu
Mchana Kwa Sasa Ngoma
Itapatikana Kwenye Channel Mpya ya
- GAPOWER PRODUCTION-
#NapitiaChangamotoNyingi#KIMEUMANA
#BIGNEWS
Whoโs Is ready 4GA Power Production Song ?๐_____!!
Unahisi this time tutakuletea Mdundo Gani Je!
AMAPIANO
YAKUSIKILIZA
MDUNDIKO
VIBES SONG
Zawadi Nono kwa Mshindi ๐๐ฆ
GAPOWER TENA NA TENAAAA
๐๐๐
#BUNGWEBOY#SIMBA#GAPOWER4LFโฆ.๐
Hello GAPOWER Fans
Kuftwatana na Msiba Uliyo tukuta Mda Uhuu โโ
Ivyo Basi
Atutaweza Kupandisha Video
Iliyo takiwa Ipostiwe Usiku wa Leo
BIN JUSTIN Ft. BELAMI MUKA
Tutawajuza Ratiba Mpya Bahada ya Msiba Kumalizika Asanteni Sana
#GAPOWERREPORT
Hello GAPOWER Fans
Kupitia You Tube Channel Yangu
Kumetokea Tatizo Kubwa
Kuusu Ngoma iliyo takiwa ipostiwe Usiku wa Leo Atutaweza Kuipandisha
Kufwatana Na Tatizo Hilo Lililo Jitokeza
Uko You Tube Tutawajuza, Pale tutakapo Fanikisha Kutatuwa Swala Hilo
SORRY