lissu aliyenusurika kuuwawa takriban miaka tisa nyuma ndo yuko mahakamani leo kupigania uhuru wake, huku waliohusika kupanga na kutekeleza jaribio la kuchukua uhai wake wako mitaani, wanavimba. sawa, yote haya yana mwisho:
waganda wana hali mbaya, sisi tupo pabaya zaidi. wana wabunge 109 wa upinzani, hapa kwetu ni wawili. mu7i anaiba uchaguzi, lakini anaweza kuutetea huo wizi. haogopi kuhojiwa, na chombo chochote kile cha habari. njoo tanzania sasa. comparing to ugandans, we still live in caves!
inanishangaza namna mtu anaweza kuwa terminally stupid yet confident kuanika huo upumbavu wake hadharani. serikali ndiyo iliyomshitaki lissu, heche anahusika vipi? yaani kesi imekuwa ya kubumba, mkuu analizimisha kuombwa msamaha? acheni kuwa wajinga:
jaji mkuu anataka aonekane anasimamia haki na msingi wa uhuru wa mahakama. analalaje usiku akijua serikali imemuweka kizuizini kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, siyo kwa kisingizio kingine chochote kile bali matakwa ya watawala? masaju aache maneno mengi, ashughulike na hili!
These great rallies, overflowing with your firm determination, have completely shattered the foreign enemies’ plots that were supposed to be carried out by internal hirelings.
بسم الله الرّحمن الرّحیم
ملّت عظیمالشأن ایران!
امروز کار بزرگی انجام دادید و #روزی_تاریخی آفریدید.
این اجتماعات عظیم و سرشار از عزم راسخ، نقشهی دشمنان خارجی را که قرار بود به دست مزدوران داخلی پیاده شود، باطل کرد./۱
Halmashauri ziachane na kasumba ya Stand lazima iwe ghorofa na pembeni ya Mji, badala yake wahakikishe Stand iwe sehemu inayofikika kwa urahisi bila gharama ya ziada kwa msafiri. Mmeona jinsi Shekilango imejitengeneza yenyewe kua stand kuu? Jifunzeni.
usingeweza kuendelea kuwa na simbachawene anayefanya kazi kama pm, hapohapo una mwigulu anayefanya kazi kama home affairs minister. it was just a matter of time. ni bahati mbaya kwa serikali hii mbovu na nzima zinaposhindana, mbovu siku zote hushinda. wacha liendee hivyo hivyo!