@MProvost1@HJB_News__ Crazy how one guy gets caught doing this and it is the whole religion to blame, but many can murder, eat, torture, rape, and sodomize kids, yet we cannot even hold the perps responsible... ๐ค
@MariaSTsehai Zaidi ya matusi na kuiga miziki ya nje, hii Bongo fleva haina maana tena. Kama ninataka kusikiliza Amapiano, si bora kusikiliza kitu original kutoka mzansi tu au Afrobeats kutoka Naija? ๐ฎ
@HabarimpyaTv Very low IQ conclusions. Waislamu tunaaibishwa na hawa mashehe ubwabwa. Dah, elimu ni muhimu sana ili kuelewa muktadha. Very low IQ conclusions.
Hii video imeonyesha Vizuri POLISI wakishirikiana na watu wa Usalama kwa pamoja wakiwa na silaha wakijiandaa kushambulia WANANCHI kwa risasi.
Hapo Wapo hadi Askari wa kike kashika BUNDUKI tayari kwa kuuwa watanzania.
Hapo tunamuona yule alivalia Jezi ya YANGA aliepigwa picha na BBC akiwa sehemu ya jeshi la polisi. Kwahiyo wasije kusema hawa waliovalia nguo za nyumbani sio watubwa vyombo vya usalama.
Huu ni ushahidi mwingine wakupeleka ICC kuwa Vyombo vya usalama viliungana kutupiga RISASI WANANCHI. USHAHIDI HUU TUTAUTUNZA KWA WIVU MKUBWA SANA.
TUTAKUWEPO๐ซต๐
UPDATE: My main work setting up DOGE at the White House is wrapping up, but I'll still be involved remotely to ensure efficiency continues. We got a lot done!
Was DOGE a success in exposing waste?
A) Yes
B) No
@MariaSTsehai Pol sana sis. May the almighty rest his soul in eternal peace. The distinguished gentleman raised a revolutionary and we are all proud. ๐คฒ๐พ