✨Wenye kumbukumbu mtanisaidia hivi kuna mchezaji ambaye amewahi kutumia miezi mitatu na kushinda tuzo ya mchezaji wa mwezi kwenye ligi yetu kama ambavyo amefanya Jean Baleke,mwenye hizo kumbukumbu anisaidie kuniwekea hapo chini👇,Baleke kama atabaki msimu ujao kutakuwa na balaa!
Samahan Kukusumbua,Naomba Nisaidie #Retweet❤️🙏
#ArsenalAllWhite
27,000/=
Zimerudi Tena ila n #CHACHE wahi plz
0714336827
#MIKOA yote natuma....Kuanzia jez 3 Delivery FREE