@Radio47_Kenya
Naona polisi wanajaribu ku Itilafiana na maumbile ya mungu, sasa inamaanisha mtu mfupi Awezi kuwa Polisi, alafu meno sasa na polisi inaingiliana wapi, yatu tuanenda kuuma wezi.?
Following from Kapkong turbo
@citizentvkenya@fredomachoka#Rogaroga
Getting you loud and clear from Kapkong checkmate, Sugoi Turbo, i can't miss This show . Best Show in This Earth and most part of Heaven๐ฅฐ๐ฅฐ
@Chamgeifm1@tiionykip
Hata huku jua kali mkuje mchunguzee , mbona muturaa imekua soft na tamu siku hizi ama tunakula T9
Otherwise Kona mbaya tuko locked , play moja ya kanyi Chakit imuendee Mp Salasia Rais mtarajiwa.
@Chamgeifm1@tiionykip
En kona mbaya Areas Jua kali turbo , Every satoo ni siku ya kusumbuana na ma landloard sababu ya sauti ya woofer, hati tunaamusha watoto kwa ploti, nataka JB useme neno moja kwa Landlord , hata kama ni kumulaani wewe laani yeye tu.
@Chamgeifm1@tiionykip
Lunch poa, Lakini mnajua kuchambua bible kabisa, yani mnatuletea hiyo picha kabisa hadi hapi, Akeree kapsaa petpetanik koputos en konyek.
Otherwise lunch poa to all AIC kapkong ak kona mbaya wote , cheneko , sambut ak MCA kamagut ward
@citizentvkenya@LuluHassan#CitizenNipashe
Hujambo lulu, Utofu wa usalama imeanza kua janga la kitaifa, Huku bandits, huku Alshaabab huku wakora , so Rais afanye jambo kuhusu kudumisha usalama nchini.
Brian kutoka Jua kali kona mbaya.
@tiionykip@Chamgeifm1
Lunch poa, koitchi family nenyo tukul chepo kapcherongony, All AIC kapkong, Kona mbaya , jua kali sambut Chepneko, kamagut ak Sugoi komukul.
@citizentvkenya@fredomachoka#ROGAROGA
Following from kona mbaya jua kali turbo now in AIC KAPKONG CHECKMATE , please play one saiko langa langa iwaendee all truck drivers.
@Chamgeifm1@tiionykip
geting you loud and clear from kona mbaya jua kali turbo , full muzuka full entertainment .
thank you for entertaining us for free