Aquaculture |Aquatic|Researcher|Founder @soahubTz | Ocean leader @soalliance || SDGs14๐ || Climate Actions๐|| In God I trust Make men taste your Greatness.
@MsomiKhan18 Sekretarieti ya ajira wako fair na wanajali hili jukumu libaki kwao, kule hakuna janja janja.
Tena kwa siku hizi kiukweli interview ni raha kuhudhuria, wasimamizi ni watulivu na wanahakikisha kila aliefika kapata haki stahiki .
Based on experience sio kusimuliwa