Girishoni alisema tunaweza kujiendesha kama nchi bila misaada kama hii kwa makusanyo ya kodi kutoka ndani.
Girishoni alisema hii misaada inakuja na masharti ya kuwalazimisha wakubali mambo ya KISHOGA.
Nafikiri tupo salama kama nchi.
NB: MAREKANI INAFUATA.
GOOD MORNING.
Kuna rafiki yangu nimesoma nae now analipwa Millioni 4 na ushee hanijali kwa lolote,hanipi hela za matumizi Kashanisahau kabisa wakati Mimi nlikua nampa majibu darasani Namlaumu sana anafanya maisha yangu yawe magumu.🤔