Sisi vijana kitu pekee Cha kujivunia ni uhaminifu tujenge mazoea ya kuaminika na tuwe wahaminifu kweli ndo nguzo pekee ya kwanza itayokufanya ufikie malengo Yako 📌
Maisha yanabadikika, usipobadilika yatakulazimisha ubadilike kwa njia ngumu sana. Kubali kubadilila, kubali.
Achana na mtu au tabia unayoamini huwezi kuacha, hama unapodhani huwezi kuhama, anza hobbies unazohisi sio zako, badilika. But badilika kwa hekima.
Kuna umri ukifika utagundua Baba yako alikuwa sahihi karibia kwenye kila kitu na mengi uliyoambiwa kuhusu yeye ama kuhisi kuhusu Yeye hayakuwa sahihi, kuna umri ukifika unamwelewa Baba yako na unatamani umwombe radhi, Wanaume tunaelewa.