@Mwanahalisitz Ni wazi ndoto yake ilikuwa kugombea ubunge Tabora Mjini. Ubunge imekuwa biashara rahisi katika jicho la kila mtu. Tutakuwa hapa kusubiri huo ubunge kama MaCCM yatawapa kwenye sahani.
NB; Hii agenda ya #noreformsnoelection itawakimbiza madalali na matapeli wote wa kisiasa.
Umeuona ule ulinzi uliokuwepo leo mahakamani ule na vile walivyomleta TAL kwa court.
Basi vile ndivyo ilipaswa wafanyiwe wale wanaotajwa kila mwaka kwenye ripoti ya CAG kuhusu ufisadi!!
Wale ndio watu hatari zaidi kuliko huyu anayeitwa Mhaini!!