@mananajr_ Bongo forensics wameanza mwaka huu ndio unaona polisi wanatembea na macamera tena ni mmoja mmoja sana we coming up ila kwa spidi ya kobe mzee!
@ArthurGeil Mimi mbaka sasa nipo neutral ila naona ukibishana kila mtu anavutia kwake kila mtu anaona dini yake ndio sahihi
Mara sijui unatoa sadaka apewe muhubiri na kujenga kansa kama sio mirad ya watu ni nn mm nmekataa ila matendo ya huruma na wema nitafanya on my will
Thread ๐งต
SINGLE MOTHER (True Story)
Mdogo Wangu Wakike Kazaliwa 2002 Akapewa MIMBA Akiwa Kidato Cha Nne Masomo Yakaishia Hapo, Aliyempa Mimba Akaingia Mitini Tukailea Sisi Ndugu Akajifungua Kwa Operation Tukagharamia. Dogo Akaja Jiji La Daresalade Kupambania Life Lake Nala