Google Pixel 7Pro
128GB|Ram 12GB
Black Color
Tsh 600,000/= tzs
NB:Mikoani tunatuma malipo
Baada ya kupokea
Free Charge, Cover & Protector 📖
Exchange & Top up allowed
📞/Whatsapp 0683678977
KINDLY REPOST 🌺🌷💕
@allyjay02@zed_ogtz Practical nakumbuka kuna miamba iliingia chap na kutoka walikuwa wamemeza volume tangu usiku, sasa nikawa nashangaa mbona kuna kufanya dilution na watu hawafanyi nikawa nawaza au mimi ndo nakosea ilibidi nikomae na dilution, moja ya kitu iliwaangusha wengi ni hii practical 2016.
Frame 1 ni PIXEL 8 plain, frame 2 ni PIXEL 7 pro. Zote zinauzwa Bei moja ya 690,000/=. Watu watakuwa wanajiuliza kwanini Bei moja 😀.
Zote Zina storage sawa 128GB, lakini kwenye RAM Pixel 8 plain Ina 8GB, pixel 7 pro Ina RAM 12GB.
Kwenye upande wa Battery Pixel 8 plain Ina battery 4600mAh, Pixel 7 pro Ina battery 5000mAh.
Kwenye upande wa Software, zote Zina support latest Android 17.
Kwa mtu unayependa simu yenye umbo kubwa na kioo cha EDGE, chukua 7 pro. Kama unapenda simu portable, ndogondogo basi 8 plain ni simu nzuri sana.
Zote hizi zipo dukani, karibu sana
0747625726
Stoo kwetu leo
🫴saruji mchina nakupa kwa 24,000
🫴saruji simba haraka kwa 23,500
Njoo tusherehekee sikuku ya kuzaliwa huku tukiuza cement bora kabisa TZ
🫴🫴0689298201/0768011603/0678198201