@iHumphreyz@MarekaMalili Kabisa, sidhani kama kuna mtu hakumfahamu, Nakumbuka uchaguzi wa kumchagua nilifatilia mwanzo mpaka mwisho na ile furaha nilikuwa nayo wakati anatangazwa mshindi, still remember that day till today.
@iamthatfemale @Baricklyaruu Umewahi kula? Mimi naagiza Bukoba yale ni mazuri kuliko ambayo nimewahi kula sehemu nyingine nilikuwaga sili pia ila ya huko ni matamu kuliko mengine ambayo niliwahi kula yakanifanya nichukie magimbi.
@Baricklyaruu @iamthatfemale Supermarket japo wa huko unakuwa umekaa sana, sokoni sijaona kwa huku nilipo. Mimi huwa ninakuwa na mpunga so ninakoboa moja moja kwenye mashine za kukobolea mpunga.
@Charllote100 How do they manage mimi nimekua nikiumwa masikio, jamani sikio linauma vibaya nyie π, nimejaribu kutumia earphones & EarPods ila siwezi zidi nusu saa sijasikia maumivu ya sikio. I am only using them nikiwa nasafiri kunipunguzia mlio wa flight. Na zenyewe sina nimeshapoteza twice
@iamthatfemale At first inakuwa ngumu ila ilinilazimu maana nikiwa nimeshiba sipati kabisa usingizi. Wali niliacha kula maana nikila tu napata kiungulia cha hatari. Nikikumbuka kiungulia tu sina nguvu kabisa ya kula wali. Nikisafiri nabeba unga wangu wa ugali, nikiwa sehemu kama Dar mateso sana
@iamthatfemale Ndiyo dear cha usiku ndo hicho kinaliwa mwisho saa 12. Ili nipate usingizi wa kueleweka usiku inanilazimu kukaa walau masaa 4-5 bila kula before sleeping. So nimeweka utaratibu tu mwisho kula saa kumi na mbili, saa moja nakunywa juice. Kisha naendelea na yaliyopo waiting for π
All problems arises here. People are just faking, they have neglected being themselves without grasping that the ones they are envious for are also faking. It becomes a dramatic world.
βSocial media has created jealous behavior over illusions. Some of you are envious of things, relationships, and lifestyles that donβt even existβ.
@iamthatfemale Mara moja per day na fruit juice tena mwisho kula mimi ni saa kumi na mbili jioni.
Morning kama sijafunga nitakunywa maziwa na aidha magimbi, viazi vitamu au mihogo.