Huduma rafiki na ya usiri katika vituo vya afya ni nguzo muhimu katika utoaji wa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wasichana waliopata mimba katika umri mdogo.
#WamamaWadogoTz
Ujuzi wa maswala ya afya ya uzazi kwa wamama wadogo inahusisha njia sahihi za matumizi ya uzazi wa mpango, matumizi mazuri ya taulo za kike na uelewa wa kuhesabu mzunguko wa hedhi.
@UNESCO@GenderLinks@amplifyfund#WamamaWadogoTz
Huduma rafiki na ya usiri katika vituo vya afya ni nguzo muhimu katika utoaji wa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wasichana waliopata mimba katika umri mdogo.
#WamamaWadogoTz
Haki ya afya ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wamama wadogo ni pamoja na kupata elimu na taarifa sahihi ya afya ya uzazi na ujinsia.
#WamamaWadogoTz
Upatikanaji wa huduma bora za afya ya uzazi zinazokidhi mahitaji ya vijana balehe wakiwemo wasichana waliopata mimba katika umri mdogo ni moja ya haki za afya ya uzazi kwao.
#WamamaWadogoTz
Kulindwa kutokana na hatari zote zitokanazo na magonjwa ya zinaa ikiwemo VVU NA UKIMWI ni moja wapo ya haki ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wasichana waliopata mimba katika umri mdogo.
#WamamaWadogoTz