Babe The Market is at your Zone wake up
Me: Babe you can buy with 10 Standard Lot size put TP at your next Zone SL 5 pip from your entry
All profits is yours
Happy birthday, America! I love this remarkable country, which was built on the idea that anyone can change the world. For 250 years, our country has been a testament to the power of possibility. Let’s keep building extraordinary things together.
Kama uko na hela sio ya njaa nenda magomeni mikumi mtafute mtu anaitwa kichwa then mwambie nimeagizwq na rasta jamaa mwenye kawasaki nau hakika ata kupatia ufumbuzi wa hii swala yako au nyooka kkoo kwa faiz naye pia atakusaidia hii ila kwa faiz jipange mfuko bro
Msaada Kidogo
Nina Miezi 6 Sasa Natafuta Honda XR 250 au Honda XR 400 Nani Anajua Chimbo Linaloagiza Hizo Chuma From Japan? Nyingi Nazopata Hapa Bongo Zina Hali Mbaya
Huyu mama ameokotwa katika msitu wa hifadhi ya Mlima Kilimanjaro upande wa Machame akiwa amedhoofika sana. Baada ya kuhojiwa amesema anaitwa Safina Daudi Mrosa (49), kabila Mgogo. Anadai ametokea kijiji cha Kitange wilaya ya Gairo, mkoa wa Morogoro. Mume wake anaitwa Malima Yohana Mrosa ni fundi pikipiki maeneo ya Gairo.
Anadai alitumwa na Mungu kwenda msitu huo ili kufunga na kuomba. Anasema Mungu alimtokea na kumwambia aondoke nyumbani kwenda msituni kufanya maombi. Haijulikani amekaa siku ngapi huko msituni lakini amedhoofika kutokana na kukosa chakula. Yeyote anayewafahamu ndugu zake apige simu nambari 0689848090..
Kama wewe una pikipiki apart from Adventure bikes, huu moto ukiuona Road achana nao. Kama hii ADV 160, hata hizo Sinoray 6 gear hazifati.l, na bei zake sio chini ya 6M mpya!! 😂😂
if you save ₦20 everyday, it will be;
₦20 × 7 = ₦140 per week
₦140 × 30 = ₦4,200 per month.
₦4,200 × 365= ₦1,533,000 per year.
be wise and start saving now!