UVCCM Kuna hii challenge kutoka Bavicha hapa...!
Tunataka mtetee hoja zenu za Bandari lakini kwa Kingereza.
Au wakati wenzenu Bavicha wapo Bussy Darasani nyie mlikuwa bize na Chipukizi na Kukimbiza Mwenge au Kucheza Halaiki Uwanja wa taifa 😂
@MariaSTsehai Kulikuwa na mtu aliwahi kujiita jiwe, alitesa, ailiumiza, alionea, alidhulumu, alitisha na alifyeka watu. Habari njema ni kwamba kadiri alivyotufyeka, ndivyo tulivyoimarika na walivyoibuka wanaharakati wapya na wengi kama majani.
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Tutakuwa na wakati mgumu katika awamu hii pengine kuliko ilivyowahi kutokea ktk awamu nyingine yoyote. Wenye akili wasikie na waamke kutoka usingizini
@ayubu_madenge sure. una akili sana. wanaoshangilia yanga kupigwa nyumbani walipaswa kujipa muda kidogo, wameshangilia mapema sana. yanga hii ina kila aina ya uwezo wa kupindua matokeo wakarudi na kombe. nimekuwa nikiwambia watu kitu hiki hiki ulichoandika.