@HKigwangalla Nakuona ni kama unalalamika kama masikini au mnyonge mwenzangu na wakati. Nikifikiria ulikuwa mbunge, waziri, mtu wa karibu na Rais hukushauri huko unakuja kuandika X, nagundua unatafuta tukuamini kwa usiloliamini. Andika mengi kabisa tutasoma mkuu
@amwaitenda2020 Nimeona umetaja ma ELIMU yako ili chamani kwatu wakuteue, tukwambie tu hebu ww kwanza baki ukouko, sepa ata cc tuko chamani tunasibiri kuteuzi afu uje ukchukue, tutakumaindi vibaa mno ππππ
@amwaitenda2020 Umeona utangaze kabisa CV yako ili chama tujikoki kukupa ulaji, cc hatuna noma, mnatuchelewesha cc kuteuliwa mnateuliwa mnojiengua chadema, unjua mnatukera cc tukomae na chama mika yote halafu jamaa unajiuzuru kwenu unafikia kupata uteuzi, HATUKUTAKI sepa π
@ajirapsrs Wapo watu mmewachagua mkawatajia kituo cha kufanya mtihani wa WRITTEN, lakini hamkuwatajia kituo cha kufanya MTIHANI WA MAHOJIANO, MWAJIRI wao. Na maombi walipotuma mikoa yote iliweka VEMA, kiasi kwamba ngumu kujua wao wamepewa mikoa gani mwajiri gani.
@ajirapsrs BAADHI YA WAOMBAJI MLIOEACHAGUA KUFANYA INTERVIEW HAMJAWAANDIKIA WAAJIRI WAO NI WAPI. HAWA NAO WAFANYE NINI? JE, WAJIWEKE KWENHE KUNDI LA PENDING? AU WAJIONE TU KUWA WATASUBIRI MTAWAKUMBUKA BAADA YA INTERVIEW HII MAANA HAWAJUI WATASAFIRI KWENDA WAPI
We don't care where you evolved from... Who your father was, we son't want war, but if you want war with the US, what I can promise you is that, someone else will raise your son and daughter, said it clearly ππ₯ππΎππΎ