Ukiacha ufundi wa wachezaji wa timu hizi , hakuna mvivu uwanjani , muda wote wapo on the move , they are so fit .! Run a lot
Athletes with super technical ability
@iddynonga_ Achen kujustfy upumbav washafungwa wajipange sio ukae unatsha tm nyngne ksa simba kufungwa 4 .mbona anaendaga pre season nje na anashda uko ila akja kwny Lig mnasema hawana fitness mara chemistry level yako ya ujnga iko juu saana