Jamaa anaitwa kituo Cha polisi Chang'ombe baada ya kuambiwa kuwa Binti wa Marehemu dada yake ameiba simu ya mkononi.
Alipomtolea dhamana na kumtoa Nje aliamua kumuuliza katika mambo yote ambayo umefanya kwanini Umeiba simu .
Yule Binti akamwambia baada ya wazazi wangu kufariki πππ
Jana usiku wa manane, simu yangu iliita
Simu ilitoka kwa mdada ambaye hatukuwa tumewasiliana toka 2018
Sikuwa najisikia kupokea hasa kwa kuzingatia usingizi mzito uliokuwa unanizonga.
Lakini pale pale nikapokea ujumbe wa WhatsApp kutoka kwake nikalazimika kuufungua
Hizo ni picha nne tofauti, katika siku tofauti zikimuonesha aliyekwahi kuwa Balozi wa Cuba, Humphrey Polepole akiongea live online na watanzania
Picha hizi japo ni tofauti, na za siku tofauti, zinaunganishwa na kitu kimoja tu
Background image ya pazia mbili tofauti
Kama kuna stori huwa zina pinda pinda basi ni za huyu jamaa.
Ngw'anamalundi alikuwa anaenda shambani asubuhi kulima harafu jioni anaenda kuvuna.
Achana na kukanyaga jiwe mpaka kuacha alama za vidole hiyo ni stori ya kawaida kumuhusu.
Wakati wengine wanapata ya mvua yeye mvua ilikuwa inanyesha kwenye shamba lake.
Stori kama hizi kuhusu mwamba huyu huwezi sikia popote ila acha kikusogezee.
Uzi π§΅β€΅οΈ
1/4
Sharti la kwanza bao ni 1 tu halaf hakuna kuchkua muda mref ni kama kuku. Tukakubaliana akaipaka MAFUTA ya kutosha game ikapigwa.
Sasa kile kitendo kwangu kikaamsha maswal, mbona analazimisha sana CONDOM au haniamin, bas ilituaminiane ni heri tupime ili tuwe huru.
VIDEO ZA UTUPU ZILIVYO MTESA TIWA SAVAGE.
-
Katika mahojiano na kituo cha redio cha Power 105.1 FM huko New York Tiwa Savage alieleza kwa uchungu akisema "Nilipokea taarifa kutoka kwa mtu aliekuwa na video zangu za faragha zangu mimi na mpenzi bila kujua zilipo toka aliomba pesa ili asiweze kuzivujisha"
Hapo ndio ilibidi nikutane na Management kuhusu jambo hili.
Endelea Na Uzi ‡οΈ
π¦π§π’π₯π π‘πππ‘π π¬π ππππππππ.
Leo asubuhi mishale ya saa moja, niikiwa nimetulia zangu kwenye Daladala ya kuelekea Makumbusho...
Nimepambania siti nikadaka siti ya dirishani na pembeni yangu kuna jamaa mmoja anavuja jasho vibaya mnoo,
Gari iko nyomi kinazi abiria wameshonana ile mbaya, hata pa kupumulia Hamna,
Baada ya Kufika Magomeni Kanisani sasa...
Unajua Nini Kilitokea?
ππ‘πππ‘πππππ ‡οΈ
KASHIFA YA VATILEAKS
-
Mnamo Mei 2012 mwandishi wa habari wa Italia Gianluigi alichapisha kitabu kilichoitwa Nyaraka za Siri za Benedikto XVI
Kitabu hiki kilikuwa na nyaraka za siri kutoka kwa Papa Benedikto XVI na maafisa wa juu wa Vatican zikifichua Tuhuma za ufisadi, ushoga na mikataba ya kifedha ya Vatican.
Mapambano ya madaraka kati ya maafisa wa juu hasa dhidi ya Katibu wa Jimbo Kardinali Tarcisio Bertone.
Taarifa za ndani kuhusu migogoro ya kiutawala na maadili ndani ya Kanisa.
Hapo ndipo dunia ilijua kuwa watawala huandaliwa na.....π§΅β€΅οΈ Fungua Uzi
Kumbe mimi niko nyuma sana aisee! Haya ndio mambo yanafanyika kwenye house party??
Hii nchi inamambo mengi sana!
Sasa wajuzi wa haya mabata, nielewesheni hii "free" π β unajilia yeyote tu ndani humo au kuna kanuni?
Mbona haya mambo ni mapya kabisa masikioni mwangu??
PAPA ALIYEDUMU MUDA MFUPI ZAIDI KATIKA UPAPA KARNE YA 20: JE ALIUWAWA AU KUFA MWENYEWE?
Alidumu siku 33 tu kama Papa.
Alikufa katikati ya usiku.
Alikuwa ametangaza mageuzi.
Alitaka kusafisha fedha za Vatican.
Na kukabiliana na nguvu za kale sana.
Lakini jambo la kutisha zaidi ni kwamba... kifo chake bado ni fumbo π§΅π
Mpaka unakufa hauto kaa uingie sehemu inaitwa THE VAULT OF SECRET FORMULA
-
Yaani kuna uwezekano wa kuingia ofisi za CIA na FBI, Ikulu ya Marekani au Vatican ila kuingia Viwanda Mama vya Pepsi na Coca-Cola hiyo itabaki kuwa ndoto tu kama ndo zingine.
Yaani usiri wa formula ya kutengeneza Coca-Cola ilipelekea kiwanda kuchimbwa chini ya Ardhi
Fungua Uziπ§΅β€΅οΈ
Fahamu Jinsi TID alivyo panga kumuua Ali Kiba mara nne
-
Top in Dar au TID alifanya majaribio hayo mara nne bila mafanikio
Mnamo 2012 August kupitia XXL ya Clouds FM meneja wa Ali Kiba alizungumza na kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa hizo
Anasema ni kweli walipata ujumbe unaosema kuwa kuna watu waliokuwa wametumwa kwenda kumuuaΒ Ali Kiba
Endelea....‡οΈ
In case Umeenda Dar kujitafuta Kimaisha,
Hakikisha hauishi ktk haya Maeneo, kama
Umepata chumba huko Kimbia tena,
Fanya upesi kwa spidi ya Ngiri....π
Cheki hayo Maeneo ‡οΈ
" NINI CHANZO NA SABABU YA KIFO CHA " BRUCE LEE"
.
Ilikua Ni May 10th Mwaka 1973 Bruce Akiwa Katika Studio Za Golden Harvest Studios Ilikua Ni Kipindi Ambacho Alikua Akitayarisha Mzigo Wake "Enter The Dragon" Sasa Baada Ya Kazi Nzito Ulifika Muda Wa Mapumziko Kidogo Ambapo Bruce Alienda Toilet Kufanya Alichokusudia.
Alikaa Huko Kwa Takribani Dakika 20 Kitu Kilichowastua Baadhi Ya Wenzake Ambapo Mmoja Akaamua Kwenda Kumchungulia Huko Toilet Vipi Tena Kulikoni?
π§΅Shuka Na Uzi π
Leo tuangazie jinsi Godlove Mwakibete anaratibu kupata pesa? Je yupo peke yake jibu ni hapana ana mtandao wa vijana ntakaowataja ambao anawatumia kulaghai na kuvuta pesa za Mazamwamwa , ni kina nani hao shuka nami Paparazi uwajue wote ili siku ukikutana nao kimbia mbio kali sana
Kilichomtokea Tekno ni cha KUHUZUNISHA π
Hii ni hadithi ya msanii wa Nigeria aliyewahi kula meza moja na mastaa wakubwa kama Drake, lakini akapoteza kila kitu baada ya kuwa juu kwa muda mfupi! ‡οΈ