WAWEKEZAJI WA REAL ESTATES NAWAPA MALI HII, ENEO LA UFUKWENI LINAUZWA
MAHALI: Mwanza Tanzania, Ilemela.
UKUBWA:Hekari 3.5
SIFA ZA ZIADA:Eneo lipo mita 500 kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwanza
BEI: 450,000,000 tsh (negotiable) MAW: 0761419399
Mboso Khan mshedede
Chino
Mario
King Kiba
Jay Melody
Kiukweli waliotajwa hapo juu Kazi zao ndo zinawabeba....Hongera kwa la Masimba ila nguvu anayotumia ni kubwa mno sii kitu kibaya as zinampush International...hao niliowataja wakitoa ngoma kama ni nzr inaenda bila kiki.....😅
Kama kilichomkuta mzee wa “Nina degree 4, profesa wa chuo kikuu, utanishauri nini wewe na darasa la saba lako, labda unishauri kuhusu mfuko wako wa suruali”
Amechoka mwili nafsi na roho walijua wana nafasi pale mwezi wa Saba kumbe ndo wanaachwa mwenye mataa hivyo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mcheki na Majaliwa yani ilikua sintofahamu usimchezee Jakaya bana yule mdingi ana mikakati sijapata ona
Mimi nadaiwa 500k nkamwambia wakala amtumie anae nidai 50k ila wakala akatuma 500k, anaenidai akanipigia amepata pesa yote 500k anashkuru sana 🥱
Sasa wakala analalamika, kosa ni langu au lake ?