Please Naomba Repost yako🙏
#AfyaYaJamii
Mada: je ni sahihi kutafuna au kufungua dawa ambazo zinakua katika mfumo wa capsule(💊)
Nifollow @icon__08 kisha angalia videos hapo chini 👇
Part 1
Serengeti Boys wavunja kambi leo wataondoka kesho kila mmoja akiwa na 2M kutoka TFF, lakini walidondosha machozi baada ya kuambiwa waache namba za akaunti za benki kwajili ya kuwekewa pesa za ahadi ya serikali 500M ambazo mchakato wake unaendelea.
🎼🎵🎶🎶🎶Wakisema nichague tena nitakuchagua wewe
Wakisema nipende tena babe bado wewe
Maradhiii kifo kitaniumbuaaa
Acha niweke wazi michezo unaijua
Eti mara aniiite dady big dadiiii
Unanifanya naimba ooooo ooo
mwenzako nimeshakuzoa
Oooo ukiniachaa utanioneaaaa🎼🙌🏻
konde🙌🏻