@YoungAfricansSC Jamani kocha tunae big up tusiingie kwenye mfumo wa makolo kocha anatutengenezea timu tishio nq nmefurahi idea yake ya kumtumia Job kama namba 6 tunatengeneza Mokoena wa baadae...🙌
@YoungAfricansSC Makolo wamevurugwa hatu tu kucomment wanachapia kinoma wakisema katumika waambie yule mzee wao namba 17 leo watu wanachukua boll miguuni watu tunaisha jamani..🤣🙌
@YoungAfricansSC Naomba nitoe ushauri wangu kwa viongozi kuhusu safu ya ushambuliaje najua mtakuwa na mpango wa kumuacha m1 kat ya Dube au Depu ila ushauri wang msiwaache kwanza hatakama mnasajili straika mpya subirin aje aonyeshe kwanza kuwazidi hawa isije tukaacha wachezaji wazuri..