Habari zenu @taxfiy inawezekana vipi route ya elfu 3000/= ikafika mpaka elfu 8000/= huu ni wizi hakukuwa na foleni wala hakukuwa na sababu yoyote ya bei kuja mpaka elfu nane acheni wizi.
@VodacomTanzania wezi wakubwa nyie alafu mkibananishwa hamna jibu lakutoa mnakata wateja vocha zao bila sababu acheni wizi Vodacom Tanzania wapumbavu wakubwa..
@VodacomTanzania you guys are thieves with no brains stealing from your customers credits stupid
@VodacomTanzania Number yangu mnayo na deni lenu nitalipa mtakapoacha kunibia salio kila mara napoweka mnanikata senti 42 nimeshalalamika sana sio mara moja na number mnayo kwenye DM yenuu @VodacomTanzania