Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa shauri la Maombi ya Jinai Na. 7440840/2026 kati ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Tundu Antiphas Lissu, ambalo lilipangwa kuendelea kesho, tarehe 11 Juni 2026, limeahirishwa.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mahakama ya Rufani ya Tanzania, shauri hilo sasa limepangwa kwa ajili ya Judgments, Rulings & Orders siku ya Jumatatu, tarehe 6 Julai 2026, saa 3:00 asubuhi.
@kafulila_david@Mwitah_tz Shida yetu sisi sio speed wewe unajua shida yetu ni watu sahihi na intergrity hatuwezi kufikia malengo hayo kwa akili zile zile tulizonazo na kukosa intergrity umasikini umetuharibu nakuona kutokua waaminifu ndio njia rahisi yamafanikik matokeo yake tunajichelewesha kwenda mbele
@DanfordTun96400 Hawaoishi kwa kodi zetu wana dharau sana anajifanya hajui enzi hizo hiyo miaka hata kama cement iliuzwa 500 ila value ya hiyo pesa watu hawakuiweza sio kila anaelalamika maisha mgumu ni mzembe angeacha huo URC akafanye biashara au ajiajiri
@thomasjkibwana Unajua sisi back in 80's hawa kina Sangapore tulikua hatujapishana sana lakini as time goes imekua mbingu na ardhi sasa kama hatuta address vitu vilivyotufanya turudi backward hakika tutaendelea kuinekana makubwa jinga kuwasindikiza watu kwenye utajiri kwenye ushirikiano
@chapanombombwi@HecheJohn Hivi hizi ndio agenda zao? Mana wao wanahubiri CDM mikutano hawana agenda sasa wao agenda zao nikuwaambia wananchi juu ya CDM ambao hawajawahi kuongoza dola?