Niueni tu lakini Gen Z mmezeeka mno kuliko sisi Millenias, π
Unakutana na mtu amezaliwa mwaka 2000-2002 ukimuona kawa Mzee kabisa, tuliozaliwa miaka ya 90s bado vijana kabisa
Gen Z mna shida gani?
Tunakumbukia tulikotoka Kipindi ambacho hata taswira ya jiji la Dar es Salaam ili kuwa ni Mashamba,, ila kwa sasa ni Sehemu maarufu ulimwenguni kote.
HAKIKA NMEAMINI, UKUBWA NI TUNU
βοΈβοΈβοΈπͺπͺπͺ KUTOKA MAKTABA
Mi ndo maana nakimbiaga wanyama π€¦π½ββοΈ the only day nilioamua kuwa brave nipite bila kukimbia li Beberu limekuja kunipiga pembe now the whole streets is laughing at me π₯Ί