The main issue in our country isn't electoral laws—it's the flawed constitution spawning bad governance, justice, and accountability systems. Opposition must prioritize demanding a new constitution, not just electoral reforms to satisfy their selfish interests. Inakera sana!
Hii njia haiwezi saidia chochote kitu kwa sababu amekua suspended kwa kukiuka terms za X wala si kwa sababu yoyote ile. Hate speech ni kitu kibaya sana na hakina at all uhusiano na kupigania haki za binadamu.
Wadau ukiiona hii post fanya kuwatag hawa
🚨 Please help!
Tag @elonmusk@Support to reinstate @sativa255 (143K followers). He is a human rights defender & victim of political persecution. Silencing him = silencing truth.
#UnsuspendSativa255#FreedomOfSpeech
A staff team from the International Monetary Fund (IMF), led by Nicolas Blancher, concluded a mission to Tanzania from September 17 to 24, 2025 and here are breakdown of what they discovered 1/5
Ccm kwa kutumia Ubungo mdogo sana. Wanachukua bendera zetu, nguo za chama na kuwapa wanaccm, waonekane kwamba ni chadema wanamuunga mkono Samia!!!!!
Mnalilia endorsement ya Chadema sio?
Sio wanachadema tu, rais Samia haungwi mkono na waccm wenzake pia, ndio maana alichakachua vikao na kujitangaza mgombea mwezi wa 1.. miezi 7 kabla ya kampeini.
Mwanachadema atakuunga mkono kwa lipi?
Kwa kutumia Wanzibari wakina Said Issa kuzuia shughuli za chama?
Au kumkamata Mwenyekiti wetu na kumpa kesi ya uongo ili upite bila kupingwa?
Au kwa kutumia ofisi ya msajili kuhangaisha chama chetu?
Kwa kipi hasa hata Mwananchi wa kawaida anaweza kuunga mkono serikali hii?
Utekaji? Ufisadi, rushwa, mali kupewa wageni?
Hakuna legitimacy yoyote kwa utawala huu.
#NoReformsNoElection
Kumbukizi Picha
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mh. Joseph Mbilinyi maarufu kama SUGU katika Mkutano wa hadhara mapema mwaka huu.
Sugu anasifika kwa uwezo wake mkubwa wa kujenga hoja, haiba ya kukubarika na umma sambamba na haiba yake ya kuishi vema na jamii ya wapiga kura wake.
Picha kwa hisani ya mtandao.
Mnalazimisha wafanyabiasha Wadogo wadogo wa kariakoo wasifungue Biashara zao ili mjaze vichwa kwenye Mkutano wenu Haramu!!.
Mwaka huu Bila Reforms hapatakuwa na Uchaguzi na
Huo ndio Msimamo wa Watanzania.
#NoReformsNoElection
Leo Agosti 28, 2025 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa tiketi ya @ACTwazalendo, Ndugu Luhaga Mpina atazungumza na vyombo vya habari.
Mahala: Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM
Muda: 7:00 Mchana
Oktoba #LindaKura#MuhuniHasusiwi
Hivi sasa ni saa tatu Asubuhi na tayari Kawe hakuna hata mahala pa kuweka mguu. Haya mahaba ya watu kwa CCM ni ya kustaajabisha, si ajabu kwanini wale wendawazimu walikimbia huu Uchaguzi!
Msimamo rasmi wa Chama chetu kufuatia barua ya Tume ya Uchaguzi kukataa kupokea fomu za Mgombea wetu wa Urais ndg Luhaga Mpina. Tutapigania haki yetu mpaka mwisho. Hatuyumbi wala kuyumbishwa. Hatupeperushwi, TUTAPEPEWA!
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan arejesha Fomu za kugombea nafasi hiyo katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Njedengwa Jijini Dodoma
Kwa hiyari yenu mmeamua kwamba hamtaki Uchaguzi, sasa mbona mnawashwa sana na Uchaguzi ambao mlisema hamshiriki na mtazuia ? Kwanini msijikite hapo kwenye kuuzuia nyie mapopoma ?
Msajili, Jeshi la Polisi, Mahakama, Tume ya Chaguzi ni watoto wa Baba mmoja( hawa wote wanafanya kazi kwa maelekezo ya Rais).
Ili kuwatenganisha tunahitaji Mabadiliko ya kikatiba na kikanuni.
Bila Reforms hakuna aliye salama....HAKUNA ALIYE SALAMA.
#NOREFORMNOELECTION