Narudia tena usimtukanie mtu mama... /
Aliemlea akamkuza mpaka nyinyi mkakutana... /
Nenda pote utachopata ni drama
Dunia nzima jua hakuna.. ataekupenda kama mama..!
@rapcha_tz
Mama 🔥
Nilijalie nisilewe sifa..!
Nikumbuke siku za uhai wangu zinahesabika... /
Hivyo nikuabudu nikiwa kijana..!
Nawe utaniweka juu kwa baraka leo zaidi ya jana.. /
@rapcha_tz@JideJaydee
Ameen 🔥
Akina mama waliotangulia R. I. P... /
Mungu awalaze pema na duniani mliacha I.D... /
Pia asante baba kwa kunichagulia mama bora... /
Japo nilipokua mdogo kanichapa sana bakora... /
@rapcha_tz
Mama 🔥🔥🔥