JE USHAWAHI KUJIULIZA NI NAMNA GANI FORENSIC INVESTIGATORS WANAWEZA KUKADIRIA HUYU MTU AMEFARIKI MDA GANI..?.
Watalaamu hawa hutumia iwe ni DNA, alama za vidole, au Jasho, na jicho ku generate picha ya mwisho marehemu kuona, kupitia hivyo vitu unaweza kuthibitisha au kukanusha kuhusika kwa washukiwa kwenye tukio la uhalifu.
๐งตShuka Na Uzi ๐