Calum McFarlane: hajawahi kuongeza team kwenye mechi za wakubwaπ
Pep Guardiola: kaongoza team kwenye mechi za wakubwa mara 1,011 π
Kesho wanakutana Man City Vs Chelsea π₯
Mtumbuizaji bora anatambua muda sahihi wa kushuka jukwaani, Enzo Maresca ataachana na Chelsea muda wowote kutoka Sasa.
Kwa upande Fulani ni habari njema Kwa mashabiki wa Chelsea.
Kiungo wa Singida Black Stars Damaro Camara anahusishwa na kujiunga na Yanga akitokea Singida BS, Yanga wanapanga kuongeza nguvu eneo la kiungo mkabaji na wanamuangalia Damaro kama chaguo sahihi.
Pale Uganda ukifika wanamkubali sana Alan Okelo wanasema akiwepo uwanjani kuna asilimia kubwa ya kushinda mchezo, ananunikia kwenye Aridhi ya Tanzania Kwa Sasaπ
Hii ni ile mechi ambayo siyakukosa naona gemu ya kimkakati sana leo Simba Queens na Yanga Princess timu zote zimeanza vizuri sana kwenye ligi atakayeshinda hapa anajiweka kwenye mazingira mazuri ya kuondoka na kitu msimu huuπ₯π₯
Rekodi za Rayan Cherk kwenye EPL msimu huu...π
Mechi π 12
Magoli β½ 2
Assist π€ 7
Jumla kahusika kwenye magoli 9 tayari na ni yeye na Bruno Fernandes wenye Assist nyingi kwenye ligi msimu huu
Anaitwa Igor Jesus tayari ametoa pasi ya goli kuna namna anaonyesha mchango makubwa pale mbele kwa Nottingham kwenye game ya leo... Yupo yeye alafu kuna bwana mdogo Hutchinson Man City wanakibaruaπ₯