Sehemu ya Hotuba ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Wenyeviti wa Wilaya wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi katika Chuo cha Mafunzo cha UVCCM Ihemi, Iringa.
#ChamaImara#Kaziinaendelea
Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo akiwasili katika Chuo Cha Mafunzo Ihemi, Iringa kwa shughuli ya kuzindua ukumbi wa Mkapa Hall pamoja na kufungua mafunzo ya Wenyeviti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi kutoka wilaya zote nchini.
#ChamaImara#Kaziinaendelea
Nimepata wasaa wa kuhutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kueleza mwelekeo na vipaumbele vya Serikali ya awamu ya Sita. Nimesisitiza umuhimu wa uadilifu na kujitoa kwa ajili ya Taifa letu. Kamwe uzembe na ubadhirifu hautovumiliwa.
MUNGU IBARIKI TANZANIA,KAZI IENDELEE.
Caribbean Girls, a hackathon initiative for girls and young women in college and university, immerses hundreds of women and girls in online tech training and workshops to create tech solutions for the Caribbean context. #GirlsinICT@ITUAmericas https://t.co/NwJ6TtIaPE
For 10 years, the world has celebrated International #GirlsinICT Day in April. To mark this special occasion, here are some women, girls, and organisations advancing women’s digital skills, active citizenship, and civic participation through technology 🧵
International #GirlsinICT Day is today, 22 April this year, but the celebration doesn’t end there! Check out @ITU ‘s “10 Moments of Girls in ICT” calendar to get a sneak peek at events and activities to keep the momentum going all year. https://t.co/T9BNwLJN7z
Men are 21% more likely to be online than women, rising to 52% in the world’s least developed countries.
To #ActForEqual, we must close the digital gender gap.
#GenerationEquality@UN_Women
From finding and fostering online communities, to accessing education, to organising and getting involved in politics, the web can be a lifeline for young people. But despite the many potential benefits, the web is not working for young women and girls. https://t.co/RUzEOlnTUz
#SaferInternetDay is already behind us but don't worry, #SID2022, which will take place on Tuesday, 8 February 2022, will be here before you know it!
In the meantime, keep an eye on https://t.co/itWRvrRGxw for a debrief of #SID2021 actions around the world.