Mimi Bony Mpina, naapa kuwa nitakuwa muaminifu katika kazi zangu, nitafanya kazi wa ueledi na uaminifu, nitailinda katiba ya Jamhri ya Muungano wa Tanzania. Naapa kutotoa siri za kazi yangu hata kwa mtu yeyote wakiwemo familia na marafiki. Ee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Kufuatia walaka wa balata la maasikufu wa kanisa katoliki Tanzania(TEC) na uchambuzi wa uchaguzi kupitia balaza la maimamu Tanzanian (SHURA) na kufuatia taarifa za raia katika jamii zote nchini, zinatupa taswira ya uvunjifu wa amani. Hili jambo serikali itumie hekima kuliamulia.
Kufuatia walaka wa balata la maasikufu wa kanisa katoliki Tanzania(TEC) na uchambuzi wa uchaguzi kupitia balaza la maimamu Tanzanian (SHURA) na kufuatia taarifa za raia katika jamii zote nchini, zinatupa taswira ya uvunjifu wa amani. Hili jambo serikali itumie hekima kuliamulia.
Kosea wafaidike, patia waumie, tulia wakushangae. Hizi ni kanuni tatu za mifumo ya maisha ile yabkwanza imewaumiza wachache na kuwanufaisha wengi, ile ya pili imewanufaisha wale wa tatu na wakwanza. Hivyo wakwanza na wapili wanategemeana. Na watatu hana maana kwenye maisha haya .
Hello Tanzania ๐น๐ฟ
Jambo la AMANI ya nchi ni tunu kubwa sana. Huu mpasuko wa mitandao kwa mitizamo ya kimadaraka na siyo maendeleo unatishia sana amani ya taifa letu tukufu.Ombi langu ni taasisi na asasi za kiserikali na zisizo za kiserikali uitwishwe mkutano wa maridhiano ambao
utajenga mstakabali mzuri wa taifa letu. Huku mtandaoni kumekuwa na taharuki nyingi, huku mtaani taharuki nyingi. Naomba tubalance fikra za wananchi. Naimani ujumbe huu unaenda sehemu husika. Mimi kama mwananchi wa kawaida napendekeza hayo๐๐
Hello Tanzania ๐น๐ฟ
Jambo la AMANI ya nchi ni tunu kubwa sana. Huu mpasuko wa mitandao kwa mitizamo ya kimadaraka na siyo maendeleo unatishia sana amani ya taifa letu tukufu.Ombi langu ni taasisi na asasi za kiserikali na zisizo za kiserikali uitwishwe mkutano wa maridhiano ambao
Mtaani kwenu wanasemaje?
Sisi wanasema mlete mwenyekiti mshindi wa serikali za mitaa. Watu wamechangamka sana kesho tarehe 27.11.2024 kuanzia saa mbili tushaanza kupiga kura.
Usingoje kusimuliwa TWENDENI watanzania kura ni haki na wajibu wetu kupiga.
Mitaa imechangamka sana. Wananchi wamedhamiria kupiga kura tarehe 27.11.2024 kwenye vituo vyao walivyo jiandikisha. Naiona uongozi mpya wa serikali za mitaa mwaka 2024. TWENDENI sote tukapige kura za NDIYO
TAARIFA KWA MTANZANI MWENYE UMRI KUANZIA MIAKA 18+
Kura yako ni muhimu, jitokeze kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 27.11.2024, vituo vitafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa kumi jioni.
Asanteni sana
Kufuatia na maandalizi ya kampeni za viongozi wa serikali za mtaa nipende kuwasihi wananchi tujitokeze kusikiliza sera za wagombea ili kijiridhisha na uchaguzi wetu. Natamani kuona washindi wakipita kihalali na wenye maono ya maendeleo ya mtaa na nchi kwa ujumla. Tuilinde amani.
Zoezi la kujiandikisha daftari la mpiga kura limekuwa la haraka mnoo. Kama una sifa za kujiandikisha hebu sogea katika kituo Cha mtaani kwenu huduma hii umesogezewa karibu mnoo.
Nenda kajiandikishe ili uwe na sifa ya kumchagua kiongozi unayemtaka kwa mujibu wa katiba Mimi tayari.
Mimi bony mpina ni zao Tanzania
Ninahaki ya kupiga kura.
Wajibu wangu ni pamoja na kujiandikisha na kuhakiki daftari la mpiga kura. Hata wewe ni haki yako bado hujachelewa nenda kituoni sasa.
TWENDENI TUKAJIANDIKISHE NA KUHAKIKI . KURA NI HAKI YA MTANZANIA
Unaambiwa arsenal FC imeweka plan na utaratibu wa msimu huu kuwa mechi 10 za mwanzo ni kushinda zote sawa na point 30 na magoli 50.
Unaambiwa vijana wa Arsenal wanahasira vibaya mnoo. Wanakwambia msimu huu ni history breaker .
Karata inaanza na wolves.
@SuluhuSamia Hii siasa ya ufadhili usio na tija kwenye elimu zetu ni uhujumu uchumi. Naomba mitaala na mafundisho ya elimu ya Tanzania yaguse elimu ya kijitegemea. Mwl. Nyerere alikuwa na maono sana kuanzisha elimu hii na baadaye aikahujumiwa kwa maslahi ya kisiasa