Siku hizi kuna hizi unform za wanafunzi na swaggz zao unashindwa kuelewa huyu ni mwanafunzi au winga au chalii anauza mtumba Karume, ni namna tu amevaa
MKAKATI WA BIASHARA
Kutegemea ngoma moja iwe kubwa na ifanye vizuri ndiyo uvune mkwanja mwingi (kwa msanii profile ya ibraah) utachelewa...
Tunageuza lengo ni kuwa na MANY SMALL STREAMS ( haba na haba ) monthly hela nzuri
Kuliko kusema nina ngoma nyingi 👇
"Najua kudhiliwa, tena najua kufanikiwa; ktk hali yo yote, na ktk mambo yo yote, nimefundishwa kushiba na kuona njaa, kuwa na vingi na kupungukiwa. Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu."
#Wafilipi 4:12-12
Katika hali zote jtatu ya leo na wiki hii Mungu asikupungukie
Faith crew rolling deep for Jesus. Gang mentality… but make it Kingdom. 😂🙏🏼
“Put on the full armor of God.” Ephesians 6:11
No straps - just Scriptures.
No beef - just belief.
No throwing hands - we’re laying hands.
And the only thing we’re packing is the Word of God. 📖
#BibleGang #JesusIsKing #ArmorOfGod #FaithOverFear #ChristianHumor
Ukweli Ni Kwamba…🫵
Kama Upo Katika Industry Ya Digital, Usijisumbue Kutafuta Mtanzania Wa Kukufundisha…
Jifunze Huko Kwingine Kisha Njoo Bongo Kutafuta Tu Connection…
Ma-Guru Wote Wa Digital Hapa Tz Hawana Tena Muda Wa Kukaa Kukufundisha, Lakini Wanao Muda Wa Kukaa Ku-Connect Na Wewe.