Tupo Katika Zama Za Kupata Vitu Kwa Haraka;
Pesa,Taarifa,Mahusiano....N.K
Ila Kuna Wakati Nafikiria Msemo Unaosema;
"Easy Come Easy Go."
Kwenye Hiki Kipengele Tunachomoka Vipi ?
Kuweka Biashara Mtandaoni Sio Anasa Tena, Ni Hitaji La Muhimu.
Wateja Wanataka Kuona Bidhaa, Bei Na Mawasiliano Kwa Haraka.
Kadri Unavyorahisisha Kuwafikia, Ndivyo Unavyoongeza Nafasi Ya Kuwauzia.
Mentor Wangu Aliwahi Kuniambia Hivi;
βKadri Unavyokuwa Mkubwa, Unakuwa Na Busara, Busara Ikizidi, Ni Ngumu Kuoaβ¦ Hivyo Bas, Kama Una Uwezo Wa Kuoa Ukiwa Bado Mdogoβ¦We Oaβ
Ukiiweka Biashara Yako Mtandaoni, Unawapa Watu Nafasi Ya Kukuona, Kukuamini Na Kuwasiliana Na Wewe Kwa Urahisi Zaidi.
Hata Kama Biashara Yako Ni Ndogo, Mtandao Unaweza Kuifanya Iwafikie Watu Wengi Kuliko Ulivyotarajia.
Usikubali Biashara Yako Iwe Nzuri Alafu Isijulikaneπ«΅π
Kipindi Hiki Unachoishi Kuna Umuhimu Mkubwa Wa Kujifunza Namna Ya Kuishi Baada Ya Kufarikiβ¦
Binafsi Najifunza Namna Ya Kuendelea Kuishi Hata Miaka 1000 Baadaye.
Kuna Ndoto Ukiota Hata Hushtuki!
Ila Kuna Ndoto Nyengine Utashtuka Tuu!
Imagine Nimeota Kuna Mtu Kaniomba Pesa!
Kwa Usawa Huu Kama Mtu Anaweza Kukuomba Pesa, Aaah Huyu Kukuua Hashindwi!π