Wengi humu tuna 35+ so technically ikifika 2030 wengi tutakuwa tuna 40+
Ooh Yes, hapo sasa ndo’ nyama inaenda kuwa ngumu coz marathon inakuwa imeingia kwenye 10 la mwisho la upambanaji!!
Kumi la lala salama…
kumi la gombania goli…
yaani ile ki~get rich or die trying!!
Mguu wa shingo mguu wa roho.
On top of that
hapo kwenye buku bee sate, tunaenda kutana na ambao walishaingia 10 la mwisho nyuma kidogo!!
Vita itakuwa kubwa zaidi coz
-kuna wale ambao hawajajipata still,
-kuna wale ambao walipata ila wakapoteza, sasa wanatafuta comeback wapige counter attack.
-Na kuna sisi ingizo jipya!!
SIKU 3 KABLA YA HUKUMU YA LISU
JAMHURI DHIDI YA TUNDU ANTlPAS LISU, KESI YA JINAI NA. 19605/2025
Siku tatu pekee zimetutenganisha na hukumu katika kesi hii ya uhaini
Baada ya kusikiliza mashahidi 17 wa upande wa mashtaka, mashahidi watano wa utetezi na hoja za mwisho za pande zote,
Sasa Mahakama inakabiliwa na jukumu la kutoa majibu ya kisheria kuhusu tuhuma nzito zinazomkabili Tundu Lissu.
Lakini kuna jambo moja ambalo tusilipoteze, swali sio kama Lissu alitamka maneno yanayobishaniwa,
Ila swali ni kama Jamhuri imethibitisha kwamba maneno hayo yanatimiza kila ingredient ya kosa la uhaini.
Hapo ndipo vita halisi ya kisheria ilipo. Jamhuri imejenga hoja yake kwenye tafsiri ya maneno, nia iliyodaiwa na namna ujumbe ulivyofikishwa kwa umma.
Utetezi umejikita kwenye mazingira ya kisiasa, mapengo ya ushahidi na tofauti za maelezo ya mashahidi.
Mahakama sasa inapaswa kutenganisha hotuba kali ya kisiasa na kitendo kinachounda kosa la jinai, tukumbuke sio kila kauli inayoweza kutafsiriwa kuwa tishio inakuwa moja kwa moja uhaini.
Kwenye mens rea, swali ni kama ushahidi unaonyesha nia mahsusi ya kuhamasisha watu kuzuia uchaguzi kwa madhumuni ya kuitisha Serikali, au kama hitimisho hilo limejengwa zaidi kupitia tafsiri ya maneno.
Kwenye actus reus, mjadala ni kama kutamka na kusambaza maneno kunatimiza dhana ya deed chini ya kifungu cha 39(2)(d).
Kisha kuna attribution, kwamba ni nani aliandaa mkutano, nani aliwaalika waandishi wa habari na nani alichapisha video.
Tofauti za ushahidi kuhusu masuala haya zina uzito pale zinapogusa kitendo kinachodaiwa kufanywa na mshtakiwa.
Kutamka ujumbe, kujua kuwa unarekodiwa na kufanya kitendo cha kuuchapisha sio lazima yawe jambo moja kisheria.
This is an opportunity to showcase your talent, connect with other creatives, reach new audiences, and explore opportunities within the growing Fiv & Friends community.
If you have a talent to share, we want to hear from you!
Apply here: https://t.co/zSzk642ibL