@KenyaPower_Care Stima kupotea iyo ni kitu ya kawaida umoja, Kwanza toka world cup ianze ni kama hizi bar za umoja ni zenu. ndio watu waende waone ball Kwa bar.. nashangaa Leo kuna notice
@UDAPartyKe Ameiva, alitusotesha na bado alipewa KAZI na Sisi bado hatujachorewa. Yani kando na package ya retirement ako bado salary ya government..enyewe #Dynastytawala