Habari, Tafadhali Soma, Na pia Share Nasi majirani na watoto ambao Sahani Moja ya Chakula, Itaweza kuwagusa.
Kwa Pamoja, Upendo Utatuvusha katika Kipindi Hiki❤️🇹🇿
18 -year -old Mugabi Winner who is also a senior four candidate, urgently needs to go for heart surgery in India, but her family has failed to raise USD 30,000 . Please Retweet until everyone joins this campaign to save her life. To help- 0707370498 Muwonge Ratib (Parent)
@CRDBBankPlc kwanza nianze kwa kiwapongeza kwa kulipa vizuri influenza wa mitandaoni kupromote huduma zenu sasa wekezeni sasa kwenye actually huduma mnahuduma mbaya na ya hovyo sanaa Asante
It was not nice banking with you
People who criticize the state are disappearing in Tanzania. The BBC has spoken to some of the families who are left with no answers and no hopes. https://t.co/y6XBQ6NVri
Matamanio yetu ni kujenga Tanzania yenye furaha, ambayo kila mtu atakua na kazi ya kufanya na kujipatia kipato halali.
Inawezekana.
#NoReformsNoElection
Shughui za uchukuzi kati ya Tanzania na Malawi zimepungua mpakani baada ya Tanzania kuweka marufuku ya kulipiza kisasi dhidi ya bidhaa za kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini.
-
Mwandishi wetu @sammyawami yuko Kasumulu mpaka wa Tanzania na Malawi na ametuandalia taarifa hii.
-
🎥: @bosha_nyanje
-
-
-
#tanzania #tanzaniatiktok #bbcswahili #tanzaniaz #tanzaniantiktokz #biashara #malawi
I can confirm that this is absolutely true!
Back in 2017, I produced a full radio documentary for the BBC on this issue.
What President Kagame is saying here aligns exactly with what I learned from the interviews I conducted.
On record, a Tanzanian minister stated, “We are very determined to stop the importation of second-hand clothes.” Off the record, he admitted, “This issue is simply impossible.”
Kenya explained that they benefit significantly from the AGOA deal, particularly through their flower business.
Rwanda told us they were determined to stop the importation of second-hand clothes “purely for the dignity of our people.”
President Kagame mentions that he doesn’t know who was campaigning in the U.S. against the ban. Well, I spoke to one of them.
These are some of the most powerful organizations lobbying, with their representatives working to pass these senseless laws and regulations—laws that essentially turn our countries into dumping grounds for their used clothes. And any country that refuses to comply—like Rwanda in this case—gets punished!
https://t.co/veGln40Gsx
Viongozi wa EAC na SADC wamejifungia hivi sasa kuendelea na mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea DRC.
Katika kipande hiki cha video naangazia uwezo na changamoto za jumuiya hizi mbili kuutatua mgogoro huu.