@Roma_Mkatoliki Chemistry ni jambo muendelezo kutegemea na mradi husika ,
Maana kinacho oana ni sanaa na siyo watu
Sidhani kama , unaweza kutumia hisia tu kusema flani na flani hawawezi kutoa ngoma kali
Pengine bila kufanyika , kwa kutumia hisia tu tusingeamini CHID FT MZEE YUSUF
@fivara_ Neno Chipukizi Halioani Na Swala La Umri !! Mara Nyingi utumika pale ulipoanza kujihusisha Na Jambo Flani #Utambuzi Rasmi Katika Ngazi ya Ukuaji ๐ซก