The big thing i can tell the world i LOVE my Mom + my Lovely Aunt/ my mental/Mwalimu wangu kwenye maswala ya jikoni Mungu awalinde na kuwapa maisha marefu na yenye furaha tele ili waendelee kula matunda yao.. Amen!ππΏππΏ
Miaka ya 2005-2010 Arusha ilileta vijana wengi sana kwenye industry ya entertainment
(Music,Media presenters,Djβs)
Miaka ya 2010-2015 ni kama upepo ulihamia Mwanza, mwanza ikatoa vijana wengi sana kwenye kiwanda cha burudani.
(Wanamuziki,Producers,DJβs,)
Tulipofika 2015-2020 kijiti ni kama kilihamia Dodoma.
Hapa vijana wengi sana kwenye industry ya entertainment walitokea Dom town.
(Comedians,Media presenters,Music video directors,Video vixen,Wanamuziki)
2022-2026 mpaka sasa
Gari limewakia Mbeya!!
Waisa wengi sana now wanafanya maunyama kwenye kiwanda!! π₯
(Comedians/Tamthilia/Rappers/)
(Watangazaji)
Jamaa wanakiwasha hadi kwenye Gospel wame-dominate!!ππ
TANGA SIJUI TULIKANYAGA
MDUDU GANI TUKAPOTEANAππ
#MICHEZO: Wababe wa mpira wa kikapu Tanzania, Dar City leo tena majira ya , saa 9:00 alasiri, inatarajiwa kushuka dimbani kucheza mchezo wake wa pili wa mashindano ya Elite 16 Division East β Road to BAL, ikiwa na lengo la kusaka tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa wa Mpira wa Kikapu Afrika (BAL 2027).
Mchezo huo utachezwa katika ukumbi wa Kasarani Indoor Arena nchini Kenya, ambapo Dar City itakutana na Namuwongo Blazers ya Uganda katika pambano linalotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
Katika mchezo wake wa kwanza uliochezwa jana Novemba 23, Dar City ilianza kampeni yake kwa ushindi mnono wa pointi 96-76 dhidi ya Ferroviario da Beira ya Msumbiji, matokeo yanayoipa timu hiyo mwanzo mzuri katika mashindano hayo.
β: @graceibrah50
#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV