Last night was indescribable. Here’s a collection of some of the scenes for those who couldn’t make it
(or for those like me who are watching and rewatching every bit of content going)
#RBAFinal#Game3
Wanaume Dar City 1-1, JKT
Wanawake Vijana Queen 2-0 JKT Stars ! 🏀
Sasa, ni nani atakayetoka kinara wa mchezo Ndani Ya Viwanja Vya Don Bosco Oysterbay
Mimi Nashabikia Team Zote 😂
Je Wewe Unashabikia Team Gani?
Washkaji Zangu Wamefunguka Hapa 👇
Hii “Dengue Fever” nayo nilifanya na @MeckyKaloka na ikatupa Kora Award nomination… kuna watu walinuna.
Camera tuliazima kwa @barrthabeet Lens tukaazima kwa @MxCarter nguo kwa Boyca, then tukatimba Ilala Flats.
Tuliwekeza Ubunifu zaidi ya Pesa