Kwenye Maisha Kila Mtu Uwa Anasukuma Kete Zake, Wapo Wanao Shinda Na Wanao Shindwa, Na Hii Ndio Maana Halisi Ya #THECHESS Matokeo Ya Maisha Yako Ni Namna Unavyo Sukuma Kete Zako, Tukutane JUMATATU Saa 6:00 Mchana Filamu Kali Kuwahi Kutokea Tanzania UTAIPATA YOUTUBE YA DONTA TV
@Sirjeff_D Vipi kuhusu sisi watu weusi?? Ndio maana wachina na wahindi wanadini zao aiwezekani manabii wote wawe wakwao mungu awe wakwao taifa teule wawe wao arafu uje unambie mimi nifuate imani yao na kuwatukuza
@blackdays2021 @Gibson44178359@NjiwaFLow Akujawahi kuwa na haki za binadamu kwa mataifa yanayo ipinga marekani sasa sijajua unazungumzia haki zipi za binandamu
@ayubu_madenge Iyo ni mbinu ya marekani kuwa ndani ya gaza unafikiri kutakua na bandari tu? Subiri bandari ijengwe uone kama hamas watamaliza mwaka bila kusambalatishwa hii ni mbinu ya marekani na Israel hamasi wasikubari